Lyrics: Rayvanny – Tetema Lyrics ft. Diamond Platnumz

Rayvanny – Tetema Lyrics ft. Platnumz

Rayvanny – Tetema Lyrics ft. Platnumz
Lyrics: Rayvanny - Tetema Lyrics ft. Platnumz

Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Tipo tipo tetema (ooh mama tetema)
Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Shuka chini tetema (ooh mama tetema

Its s2kizzy beiby

Tetema yaani kama umepigwa shoti
Tetema nipe migandisho ya roboti
Tetema ukutani hadi kwenye kochi
Tetema kwenye giza mama shika pochi

Katoto kamenoga (ooh mama)
Nakapandiza za bukoba (ooh mama)
Nakapadisha bodaboda (ooh mama)
Kakichoka kuchuma mboga(ooh mama)

Aaai mama shigidi aah
Nakufa wooi wikidi aai
Aaai mama shigidi konki
Fire, motoo, liquidi

Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Tipo tipo tetema (ooh mama tetema)
Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Shuka chini tetema (ooh mama tetema)

READ ALSO:  Diamond Platnumz wants his wedding date declared as a public holiday in Tanzania

Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Tipo tipo tetema (ooh mama tetema)
Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Shuka chini tetema (ooh mama tetema)

Tetema!
Yaani kama vile generator (tetema)
Kama mwizi kakupiga ngeta (tetema)
Mwendo wa kutunga kupepeta (tetema)
Chini nikipuliza tarumbeta

Asa wooza! Wooza! Cheza shogoloza
Kufa chali kama mende
Maria Roza poza tungi limepoza
Twende nikupige nyembe(brrr…Okey)

| Rayvanny ft Platnumz Tetema Lyrics |

You make my mind go kololo(kolooo…kolo)
Ukinuna tu mie toro(torooo…toro)

Washa! Saa nipe za digidigi
Washa! Miuno ya kiki kiki
Washa! Funga kibindo mkwichi kwichi
Washa! Nikunyonge ka zigizigi

Teeete!
(ooh mama tetema)
Tipo tipo tetema (ooh mama tetema)
Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Shuka chini tetema (ooh mama tetema)

READ ALSO:  Breaking?! Kevin Taylor Exposes Captain Smart As He Reveals The Secret Agenda Against Dr Kweku Oteng

Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Tipo tipo tetema (ooh mama tetema)
Aya twende tetema (ooh mama tetema)
Shuka chini tetema (ooh mama tetema)

Ayo Lizzer, Chii
Kichaa kime-kime-kimempata
Ame we who kime-kimempata
Kapandisha mizuka kime-kimempata
Ana ruka ruka kime-kimempata

Kichaa kime-kime-kimempata
Kapanda juu ya meza kime-kimempata
Eti anavua shati kime-kimempata
Na leo anatesa kime-kimempata
Yaani varangata
Waasafii…

Thanks for checking out lyrics on Celebritiesbuzz.com.gh, We so much and appreciate you.

Kindly checkout the lyrics of other hit songs. CLICK HERE

Rayvanny – Tetema Lyrics ft. Platnumz

Source: celebritiesbuzz.com.gh

Related posts

Posted by
Frank Mawutor

Frank Mawutor is a professional Teacher, loves music for that matter a rapper, very generous. He's the head of music department at celebritiesbuzz.com.gh. His ultimate desire is to promote Ghana music to the world through blogging. He has in-dept experience in how to promote young and upcoming artiste to get to the very top. You can contact him via [email protected] or call him on +233241045426

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.