Categories
Ghana Entertainment News

Lyrics: Eunice Njeri – Zaida Na Zaida Lyrics

Eunice Njeri – Zaida Na Zaida Lyrics

Eunice Njeri - Zaida Na Zaida Lyrics
Eunice Njeri – Zaida Na Zaida Lyrics

Mungu wangu, mungu wa neno
Mungu wangu, mungu wa agano
Uwa kweli na wewe ni ngao
Haujafeli na usemalo ndilo

[CHORUS]
Niongoze upendavyo
Nitembee juu ya maji
Nifinyange mi udongo
Nikujue zaidi na zaidi na zaidi

Imani yangu roho wa mungu
Waniita nimesikia
Nakusongea we wanisongea (oooh)
Ninakutafuta we wanitosha (heeh)

[CHORUS]
Niongoze upendavyo
Nitembee juu ya maji
Nifinyange mi udongo
Nikujue zaidi na zaidi na zaidi

Oooh nikujuwe
Zaidi na zaidi na zaidi
Heeeh nikujuwe
Zaidi na zaidi na zaidi

Unizamishe ndani yakooo
Nipungue uongezee
Nizamishe ndani yakooo
Nipungue nisionekane

[CHORUS]
Niongoze upendavyo (halleluyah)
Nitembee juu ya maji
Nifinyange mi udongo
Nikujue zaidi na zaidi na zaidi

Oooh niongozeeee

Thanks for checking out lyrics on Celebritiesbuzz.com.gh, We so much love and appreciate you.

Kindly checkout the lyrics of other hit songs. CLICK HERE

Eunice Njeri – Zaida Na Zaida Lyrics

Categories
Ghana Entertainment News

Lyrics: Eunice Njeri – Nguruma Lyrics

Eunice Njeri – Nguruma Lyrics

Nguruma Lyrics
Eunice Njeri – Nguruma Lyrics

Sauti yako yasikika juu ya maji (Your voice is heard over the waters)
Sauti yako ni kama radi (Your voice thunders)
Sauti yako Baba, sauti ina Nguvu (Your voice Father, is powerful)
Sauti yako Mwenyezi imejaa fahari (Your voice Almighty, is majestic)
Ukinena ee Mungu, ayala wanajifungua (By your word God, the deer deliver)
Ukinena ee Mungu, misitu unafagia (By Your word God, the forest is wiped)

Refrain:
Repeat: Nguruma eh (Roar)
Baba nguruma ee (Father roar)
We Mungu nguruma eh (God roar)
Baba nguruma eh (Father roar)
(Tupone tuokoke) (That we may see and be saved)
Sauti usikike eh (Let Your voice be heard)

Ukinguruma milima yarushwarushwa kama ndama (When You roar the mountains are laid low)
Ukipaza sauti eh, unatoa moto (On raising Your voice, there is a fire)
Sauti, sauti hiyo, jangwa inatetema (By that voice, the desert shakes)
Umeketi juu ya gharika, mfalme wa milele (You dwell above the flood, Everlasting Father)
Ukinena ee Mungu, ayala wanajifungua (By Your word oh God, the deer delivers)
Ukinena ee Mungu, misitu unafagia (By Your Word oh God, the forests are wiped)

(Refrain)

Bridge:
Repeat: Utukufu kwa Mungu (Glory to God)
Hekaluni tuseme (At the temple let us say)
Mitaani tuimbe (At the neighborhood, let us sing)
Redio na mitandao (On radio and online)
Acha iwe, acha iwe (Let it be, let it be)