Lyrics: Diamond Platnumz – Inama Lyrics ft. Fally Ipupa
Diamond Platnumz – Inama Lyrics ft. Fally Ipupa Ayolizer Kukudekeza kama mtoto Furaha unafurahia Unapogeuka moto Machozi unalia Mwembamba mwenene Uwe na pesa kama Dangote(Dangote) Penzi halijali umasikini Laweza penda mtu yoyote Penzi sio somo Ukasome kwa kitabu Penzi limefanya Harmonize Afukuzishe mwarabu Penzi oyoyo, Limeleta kwa wanangu vita Siku hizi siwaoni Naishia kuwalike Insta…