Bibilia inasema nini kuhusu mapepo/mashetani?

Swali Bibilia inasema nini kuhusu mapepo/mashetani? Jibu Ufunuo 12:9 ni ukurasa wasi juu ya kitambulisho cha mashetani, “Yule joka akatupwa, Yule mkubwa, nyoka wa zamani aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na maliaika zake wakatupwa pamoja naye.” Kuanguka kwa Shetani kutoka mbunguni kumeelezwa kimafumbo katika Isaya 14:12-15 na Ezekieli 28:12-15. Ufunuo…

Swali

Bibilia inasema nini kuhusu mapepo/mashetani?

Jibu

Ufunuo 12:9 ni ukurasa wasi juu ya kitambulisho cha mashetani, “Yule joka akatupwa, Yule mkubwa, nyoka wa zamani aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na maliaika zake wakatupwa pamoja naye.” Kuanguka kwa Shetani kutoka mbunguni kumeelezwa kimafumbo katika Isaya 14:12-15 na Ezekieli 28:12-15. Ufunuo Wa Yohana 12:4 yaonekana kuonyesha kwamba Shetani alianguka na theluthi tatu ya malaika pamoja naye wakati alisini. Yuda 6 anawataja malaika waliosini. Bibilia inaonyesha kwamba mashetani ni malaika walioanguka pamoja na Shetani, kwa kumuasi Mungu.

Shetani pamoja na mapepo yake sasa wanatafuta kuharibu na kudanganya wale wote wanaomfuata na kumwabudu Mungu (1 Petero 5:8; 2 Wakorintho 11:14-15). Mapepo wameelezwa kuwa roho mbaya (Mathayo 10:1), na malaika wa Shetani (Ufunuo 12:9). Shetani na pepo wake wanadanganya ulimwengu (2 Wakorintho 4:4), wanawafamia wakristo (2 Wakorintho 12:7; 1 Petero 5:8), wakapigana na malaika wa kweli (Ufunuo 12:4-9). Mapepo ni viumbe wa kiroho, lakini wanaweza kuonokena katika mwili (2 Wakorintho 11:14-15). Pepo/malaika walioanguka ni maadui wa Mungu, lakini maadui walioshindwa. Yeye aliye ndani yetu ni mkuu kuliko aliye dunia (1 Yohana 4:4).

[English]



[Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili]

Bibilia inasema nini kuhusu mapepo/mashetani?

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.