Ni tofauti gani ilioko kati ya nafsi na roho ya mwanadamu?

Swali Ni tofauti gani ilioko kati ya nafsi na roho ya mwanadamu? Jibu Nafsi na roho ni sehemu mbili muimu za mwili wa ndani ambazo Bibilia yaamini ni tabia kamili za mwanadamu. Inaweza tatanisha kujaribu kutambua kabisa tofauti ilioko kati ya hayo mambo mawili. Neno “roho” laashiria mwili wa ndani pekee wa mwanadamu. Wanadamu wako…

Swali

Ni tofauti gani ilioko kati ya nafsi na roho ya mwanadamu?

Jibu

Nafsi na roho ni sehemu mbili muimu za mwili wa ndani ambazo Bibilia yaamini ni tabia kamili za mwanadamu. Inaweza tatanisha kujaribu kutambua kabisa tofauti ilioko kati ya hayo mambo mawili. Neno “roho” laashiria mwili wa ndani pekee wa mwanadamu. Wanadamu wako na roho, lakini sisi si roho. Ingawa katika maandiko ni waumini wanatambulika kuwa hai kiroho ( 1 Wakorintho 2:11; Waebrania 4:12; Yakobo 2:26), bali wasio amini wamekufa kiroho ( Waefeso 2:1-5; Wakolosai 2:13). Paulo katika uandishi wake, roho ni kitu cha maana katika maisha ya Mkristo (1 Wakorintho 2:14; 3:1; Waefeso 1:3; 5:19; Wakolosai 1:9; 3:16). Roho ni kitu katika maisha ya mwanadamu ambacho kinampa uwezo wa kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu. Popote neno “roho” limetumika, linaashiria sehemu ya ndani ya mwanadamu ambayo “yakutanika” na Mungu, ambaye Yeya mwenyewe ni Roho (Yohana 4:24).

Neno “nafsi” laweza maanisha mwili wa nche na mwili wa ndani wa mwanadamu. Mbali na mwanadamu kuwa na roho, pia mwanadamu ni nafsi. Katika maana yake ya kawaida, neno “nafsi” lamaanisha “uhai.” Ingawa zaidi ya hii maana kuu, Bibilia yazungumzia nafsi katika mkudhata mbalimbali. Mojawapo ya hizi ni nia ya mwanadamu kutenda dhambi (Luka 12:26). Mwanadamu kwa maumbilie yake ni mwenye dhambi, na nafsi zetu zimearibika kwa ajili ya hiyo. Nguzo kuu ya uhai imeondolewa wakati wa kifo (Mwanzo 35:18; Yeremia 15:2). Nafsi, pamoja na roho ndizo nguzo katika usoefu wa kiroho na kiihisia (Ayubu 30:25; Zaburi 43:5; Yeremia 13:17). Popote neno “nafsi” limetumika, linaweza maanisha mwili wote uwe hai au uwe umekufa.

Nafsi na roho zimeunganika, lakina zinaweza kutenganishwa (Waebrania 4:12). Nafsi ni sehemu ya uhai wa mwanadamu; ni vile tulivyo. Roho ni sehemu ya mwanadamu ambayo yakutanika na Mungu.

[English]



[Rudi kwa ukurasa wa nyumbani wa Kiswahili]

Ni tofauti gani ilioko kati ya nafsi na roho ya mwanadamu?

Similar Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.