Mr Seed – Happy Lyrics ft. Kambua

Mr Seed - Happy Lyrics
Mr Seed – Happy Lyrics ft. Kambua

[INTRO]
EMB Records
Heeya . Oooh oooh yeah. Mmmh mmmh
Oooh Lord
Umenipenda sana we ni mwema
Oooh Lord
Umenishika moyo siwezi toka
(Producer Paulo)
Wowowowoooo woiii Mr Seed again
Wowowowoooo woiii, Na Kambua (eeeh)

[CHORUS: MR SEED]
I am happy
Happy yakwamba nimeokoka leo
I am happy
Happy yakwamba nimempata Yesu (oooh)
I am happy
Happy yakwamba nimeokoka leo
I am happy
Happy yakwamba nimempata Yesu (oooh)

[KAMBUA]
How I love You Lord
Ulinipenda kwanza kabla nikupende
How I love You Lord
Na shida zangu zote umeshazipiga teke
How I love You
Nashindwa ata jambo la kusema,
How I love You
Maisha yangu umekamilisha

[MR SEED]
Watu walinichanganya changanya
Wakakoroga koroga
Wakasema dunia inatosha
Wakachanganya changanya
Wakakoroga koroga
Wakasema wokovu haiwezi
Nimependwa na Yesu woiii
Nimeonja utamu woiii
Nimependwa na Yesu woiii
Nimeonja utamu woiii

[CHORUS: MR SEED]
I am happy
Happy yakwamba nimeokoka leo
I am happy
Happy yakwamba nimempata Yesu (oooh)
I am happy
Happy yakwamba nimeokoka leo
I am happy
Happy yakwamba nimempata yesu(oooh)

[VERSE 2]
Ningekuwa wapi wapi
Kama sio kwa upendo wako Yesu
Ningekuwa wapi wapi
Na hapa nilipo ni kwa neema yako
Na nasema Thank you
My love for you will never never die
And I say Thank you
I will walk with you till I die

[KAMBUA]
Love You, that’s my desire
Love you that’s my desire

Umenituliza roho
I wanna love you more
Umenituliza roho
I wanna love you more and more

[KAMBUA & MR SEED]
Nimependwa na yesu woiii
Nimeonja utamu woiii
Nimependwa na yesu woiii
Nimeonja utamu woiii

[CHORUS: MR SEED]
I am happy
Happy yakwamba nimeokoka leo
I am happy
Happy yakwamba nimempata yesu(oooh)
I am happy
Happy yakwamba nimeokoka leo
I am happy
Happy yakwamba nimempata yesu(oooh)

[KAMBUA & MR SEED]
Nimependwa na yesu woiii
Nimeonja utamu woiii
Nimependwa na yesu woiii
Nimeonja utamu woiii

EMB Records

Thanks for checking out lyrics on Celebritiesbuzz.com.gh, We so much love and appreciate you.

Kindly checkout the lyrics of other hit songs. CLICK HERE

Mr Seed – Happy Lyrics ft. Kambua